
PRISONS YATUMA UJUMBE HUU KWA GEITA
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa kesho, Mei 26, Uwanja wa Sokoine,Mbeya, Kocha Mkuu wa Prisons, Patrick Odhiambo amesema wamejipanga vizuri kupata alama tatu. Prisons imekuwa kwenye mwendo wa kusuasua ndani ya ligi kwenye msimamo ipo nafasi ya 15 ikiwa na pointi 24 kibindoni. Mchezo…