
MAYELE AITAJA PASI YA SURE BOY KUWA NI YA VIWANGO
FISTON Mayele mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Yanga akiwa ametupia mabao 13 na pasi tatu amesema kuwa pasi ya kiungo Salum Aboubhakari, ‘Sure Boy’ ni ya viwango vikubwa. Mayele hakufunga kwenye mechi nne mfululizo za ligi na mara ya mwisho kufunga ilikuwa mbele ya Namungo FC kwenye ushindi wa mabao 2-1. Alifunga bao…