FT:SIMBA 6-0 DAR CITY,KOMBE LA SHIRIKISHO

USHINDI wa mabao 6-0 dhidi ya Dar City unaipa nafasi Simba kutinga hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho. Ni katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa na Simba waliweza kwenda mapumziko wakiwa wametupia mabao manne. Ni Meddie Kagere alitupia mabao mawili huku Clatous Chama na Rally Bwalya wakitupia bao mojamoja. Kipindi cha pili Pascal Wawa…

Read More

KOCHA MPYA AZAM FC ASAINI MIAKA MITATU

OMAR Abdikarim Nasser amesaini dili la miaka mitatu kuwa Kocha Msaidizi mpya wa Klabu ya Azam FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Januari 29 alitambulishwa rasmi kuwa ni mali ya timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao za nyumbani. Kwa mujibu wa Azam FC wamebainisha kwamba ujio wake ni pendekezo la Kocha…

Read More

MUGALU NA BOCCO WATOA GUNDU SIKU YA 193

JANUARI 28 mastaa wawili wa Simba ambao ni washambuliaji, John Bocco na Chris Mugalu walitoa gundu ya kutofunga kwa muda mrefu kwenye ligi kwa kuweza kufunga kwenye mazoezi. Ilikuwa ni siku yao ya 193 ya kuweza kucheza bila kufunga baada ya kuweza kutupia mara ya mwisho Julai 18,2021 katika mchezo wa ligi dhidi ya Namungo…

Read More

YANGA KUPELEKWA MANUNGU

OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru ameweka wazi kwamba hawafikirii kuacha kuutumia Uwanja wa Manungu kwa wakati huu kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ambazo zipo mbele yao ikiwa ni pamoja na ile dhidi ya Yanga. Kifaru amesema kuwa uwekezaji ambao wameufanya unawapa nguvu ya kutumia uwanja wao bora ambao upo kwenye viunga vya…

Read More

MASTAA SIMBA WAPIGISHWA TIZI KWENYE JUA KALI KINOMA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba  Ijumaa aliwafanyisha mazoezi wachezaji wake mchana wa jua kali ikiwa ni maandalizi ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) dhidi ya Dar City unaotarajiwa kuchezwa leo Jumapili, Uwanja wa Mkapa. Kocha huyo sambamba na msaidizi wake, Selemani Matola waliwafanyisha mazoezi hayo mida ya saa nane…

Read More

YANGA HAO 16 BORA,MAYELE ATUPIA

NYOTA Fiston Mayele wa Yanga kipindi cha pili ameweza kupachika bao la ushindi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Bao hilo la Mayele lilipachikwa dakika ya 53 akiwa ndani ya 18 na kuwafanya mashabiki wa Yanga kunyanyuka jukwaani baada ya kuifunga Mbao FC. Ushindi huo unaifanya Yanga kutimga hatua ya…

Read More

DAKIKA 45,KIRUMBA,YANGA 0-0 MBAO FC

UWANJA wa CCM Kirumba, milango bado ni migumu kwa timu zote mbili katika mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora. Ni Yanga ambayo ulitinga hatua ya fainali na Mbao FC ya Mwanza ambayo inashiriki First League. Kipa Aboutwalib Mshery dakika ya 44 aliweza kufuta makosa yake kutokana kurudishiwa mpira na mchezaji wa Yanga….

Read More

ADAMA AREJEA NYUMBANI KWA MARA NYINGINE

NYOTA wa Wolves, Adama Traore amejiunga na Barcelona kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu huu kuitumikia timu hiyo. Nyota huyo alikuwa amewekwa kwenye hesabu na Kocha Mkuu wa Spurs, Antonio Conte hivyo kuibuka kwake ndani ya Barcelona maana yake ni kwamba imekula kwake sasa. Conte aliweka wazi kwamba anataka kuboresha kikosi chake lakini Spurs inaingia…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBAO FC

LEO Januari 29 Yanga itakuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi mbele ya Mbao FC ambayo nayo pia inaska ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza mchezo unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni:- Mshery Aboutwalib Paul Godfrey Yassin Bakari Mwamnyeto Dickson…

Read More

ISHU YA CHAMA KUSHUKA KIWANGO IPO HIVI

LICHA ya baadhi ya mashabiki wa soka kuonyesha kutoridhishwa na kiwango cha kiungo, Clatous Chama kwenye mchezo ambao Simba ilikubali kipigo cha bao 1-0 ugenini dhidi ya Kagera, kiungo fundi wa zamani wa Simba, Mtemi Ramadhan amekuwa tofauti na kiwango alichokionyesha Chama kwenye mchezo huo. Chama amerejea Simba msimu huu wa usajili wa dirisha dogo…

Read More

ADHABU KUMUHUSU MCHEZAJI WA YANGA ATAKAYEZUNGUMZIA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Mohamed Nabi amesema amewapiga marufuku wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo kuzungumzia matokeo mabovu ya mahasimu wao Simba ambayo wamekuwa wakiyapata katika mechi zao za hivi karibuni na badala yake wajikite katika michezo yao na kuhakikisha wanashinda. “Nimewaambia wachezaji sitaki kusikia hata wanazungumza ishu za Simba kwani…

Read More

YANGA WAPIGA HESABU ZA USHINDI MBELE YA MBAO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba unawaheshimu wapinzani wao Mbao ambao watacheza nao leo kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora lakini watawafunga.  Mkurugenzi wa Mashindano ndani ya Yanga, Thabit Kandoro amesema kuwa wanatambua kwamba wana mchezo mgumu ila wanahitaji ushindi. “Baada ya droo kuchezwa tulijua kwamba tuna kazi ya kufanya mbele…

Read More