SIMON MSUVA ATAJWA KUIBUKIA TP MAZEMBE

UONGOZI wa Klabu ya TP Mazembe, umefunguka kuhitaji kumsajili winga Mtanzania, Simon Msuva anayekipiga Wydad Casablanca ya Morocco, huku ukiweka wazi mipango yao ya kuhitaji kukirudisha kikosi chao katika mafanikio ya kimataifa kunako michuano ya Afrika. Msuva licha ya timu yake ya Wydad Casablanca kuendelea kucheza katika mashindano mbalimbali, lakini winga huyo yupo Tanzania akiendelea kujifua, huku ikielezwa kwa sasa hayupo kwenye maelewano mazuri na mabosi wake hao kutoka Morocco. Bosi mmoja kutoka TP Mazembe…

Read More

DELE ALLI NI MALI YA EVERTON, HATALIPWA HATA 1000

DELE Alli amewashukuru Tottenham kwa maisha yake ya soka aliyokuwa akiishi hapo wakati akiitumikia timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England. Kwa sasa Everton imekamilisha usajili wa kiungo Alli kwa usajili huru kutokea Tottenham uhamisho ambao unaweza kufikia pauni milioni 40, (sh. Bilioni 123). Hata hivyo fungu la kwanza la Alli atapewa pauni milioni 10 akicheza…

Read More

AVIATOR YA MERIDIANBET: KIBOKO YA MICHEZO BOMBA YA KASINO!

Huhitaji kuwa ‘serious’ sana unapovinjari viunga vya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ushindi unaenda sambamba na burudani. Mchezo wa Aviator, ni mchezo rahisi unaokupa nafasi kubwa ya ushindi na kukuhakikishia burudani mwanzo mpaka mwisho.   Mchezo huu ni kama kuwepo mawindoni hivi, unamuwinda mnyama unayempenda sana na hauwezi kulala bila kumpata. Lakini, unafurahia windo lako…

Read More

TANZANITE IPO KAMILI GADO

BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu za Taifa za Wanawake, Bakari Shime amesema kuwa wana imani ya kupata matokeo katika mchezo wa marudio dhidi ya Ethiopia. Shime yupo na kikosi kazi cha Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite na inatumia Uwanja wa Black Rhino kufanyia mazoezi. Kwa sasa timu hiyo imeweka…

Read More

AUBAMEYANG HUYO BARCELONA BURE

ARSENAL imekubali kumuacha nyota wake Pierre Aubameyang ajiunge na Barcelona bure ili aweze kupata changamoto mpya wakati mwingine akisepa ndani ya Ligi Kuu England. Auba mwenye miaka 32 anaondoka ndani ya kikosi hicho ikiwa ni muda mfupi baada ya kuvuliwa kitambaa cha unahodha. Mshambuliaji huyo hakuweza kucheza katika timu hiyo tangu Desemba 6 2021. Anasepa…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU MBEYA CITY

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga kwa sasa wanaipigia hesabu Mbeya City kuelekea kwenye mchezo wao ujao wa ligi. Februari 5 Uwanja wa Mkapa Yanga yenye pointi 35 ikiwa nafasi ya kwanza inatarajiwa kumenyana na Mbeya City. Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddien Nabi amesema kuwa ambacho wanahitaji kwenye mchezo huo ni pointi tatu. “Kikubwa…

Read More

PABLO:WACHEZAJI SIMBA WAMEKOSA HALI YA KUJIAMINI

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake kwa sasa wamekosa hali ya kujiamini kutokana na kushindwa kufunga kwenye mechi tatu mfululizo jambo ambalo linafanyiwa kazi. Kwa sasa kwenye ligi Simba imekusanya pointi 25 ikiwa nafasi ya pili na imefunga mabao 14 huku Yanga ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 35 na imetupia jumla…

Read More

PANCHA YAKWAMISHA MIPANGO YA KMC KUTUSUA KIMATAIFA

HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa KMC ameweka wazi kuwa miongoni mwa sababu ambazo zimewafanya washindwe kusonga mbele katika hatua ya 16 bora kwenye Kombe la Shirikisho ni pamoja na tatizo la pancha ambalo liliwakuta wakiwa njiani. Kutolewa kwa timu hiyo katika hatua hiyo kumeyeyusha ndoto ya timu hiyo kuweza kuipeperusha Tanzania kimataifa kwa sababu bingwa…

Read More

KILICHOPANDWA KIMEVUNWA KOMBE LA SHIRIKISHO

MATUKIO ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mechi uwanjani yapo yanayokera na yanayofurahisha lakini muhimu kila mmoja kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake. Tumeona kwamba kuna wachezaji ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa nah ii inatokana na hasira lakini kwa namna yoyote ile ni lazima kila mchezaji kuwa mlinzi wa mchezaji mwenzake. Kwa timu ambayo itakosa kupata matokeo…

Read More

KIIZA AWEKA REKODI YA AJABU

HAMIS Kiiza (Diego) ndiye aliyebaki kwenye kumbukumbu mbaya kwenye vitabu vya Simba baada ya kuwafungia Kagera Sugar bao 1-0 na Simba kukosa alama tatu kwenye mechi tatu mfululizo. Kiiza aliingia dakika ya 58 kuchukua nafasi ya Ally Ramadhan na ilimchukua dakika 12 pekee kuweza kuweka utofauti wa matokeo kwenye mchezo huo. Kwa bao lake hilo…

Read More

MBEYA CITY HAWAPOI WATUMA UJUMBE HUU KWA VINARA WA LIGI

KOCHA Mkuu wa  Mbeya City, Mathias Lule, ameitahadharisha Yanga, kuwa isitarajie kupata mteremko katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, watakapokutana Februari 5 kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam. Mbeya City, wapo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 22 kibindoni  huku wakiwa  wameshuka uwanjani mara 13 wakiwa…

Read More

KOCHA YANGA ANAFIKIRIA KUHUSU TAJI LA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ni hatua nzuri kuwania Kombe la Shirikisho la Azam ambalo msimu uliopita walipoteza katika mchezo wa fainali. Taji hilo lipo mikononi mwa Simba inayonolewa na Pablo Franco nayo imetinga hatua ya 16 bora kwa…

Read More

SPORTPESA YAZINDUA MULTIBET BONUS YA KIBABE

KAMPUNI ya michezo na burudani Sportpesa inayo furaha kutambulisha kwa Watanzania, huduma yake mpya ya Multibet Bonus kwa wachezaji wake wote nchini. Bidhaa hii ni ya kwanza na ya kipekee kwa wachezaji wao kutokana na kiwango cha asilimia ambacho mteja atakuwa anakipata baada ya kuweka ubashiri wake kwa mechi kuanzia 3. Sportpesa imefungua mwaka kwa…

Read More

KOCHA ALIYEINOA SIMBA APEWA TUZO MOROCCO

SVEN Vandenbroec,  Kocha Mkuu wa Klabu ya FAR Rabat ya Morocco amefanikiwa kutwaa tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu ya Morocco msimu wa 2020/21. Sven aliwahi kuwa kocha wa Simba ya Tanzania na aliongoza timu hiyo kwa mafanikio makubwa kwa kipindi cha mwaka mmoja aliachana na Simba, Januari 6,2021. Aliweza kuifikisha timu hiyo katika…

Read More