KIUNGO WA KAZI NGUMU SIMBA KUKOSEKANA MECHI MBILI
SADIO Kanoute, kiungo wa kazi ngumu ndani ya Simba hayupo na timu nchini Sudan kutokana na kupewa ruhusa maalumu kuelekea nchini Mali kushughulikia pasi yake ya kusafiria. Simba imeweka kambi kwa muda nchini Sudan ambapo wamealikwa kwenye mashindano maalumu yaliyoandaliwa na Klabu ya Al Hilal. Anatarajiwa kukosa mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko na…