SIMBA QUEENS YAFANYA KWELI KIMATAIFA
USHINDI wa mabao 5-1 dhidi ya AS Kigali umewapa nafasi Simba Queens kutinga hatua ya Fainali Ligi ya Wanawake Afrika Ukanda wa CECAFA. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex timu zote zilikuwa zinasaka ushindi ili kuweza kupata matokeo na kuweza kusonga mbele. Shukrni kwa mabao ya Vivian Carozone aliyefunga mawili, Opah Clement alitupia…