
KISA UBINGWA WA LIGI, SIMBA WAIBUKA,YANGA WAJIBU
MUDA mfupi baada ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kuweza kufanikisha lengo la kuwa mabingwa watani zao wa jadi Simba wametuma ujumbe wao. Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa umewafanya Yanga kusepa na pointi tatu na kufikisha pointi 67 ambazo hizo ni mali…