
LIGI YA TANZANIA YAZIDI KUPASUA ANGA, YAPANDA KWA UBORA
TAARIFA rasmi kutoka Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika. Wakati ikiwa ni namba nne kwa ubora barani Afrika imekuwa ya 57 duniani kwa mwaka 2024 hii ikiwa inamaanisha kwamba ushindani unazidi kukua…