
SIMBA YAIPIGIA HESABU HIZI TABORA UNITED
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Awesu Awesu amesema kuwa wanatambua mchezo wao dhidi ya Tabora United utakuwa na ushindani mkubwa lakini watacheza kama fainali kupata ushindi. Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids baada ya kucheza mechi 15 za ligi ni pointi 40 kimekusanya kibindoni huku kikipoteza mchezo mmoja ilikuwa dhidi ya Yanga uliochezwa…