
SIMBA YABANWA BABATI DHIDI YA FOUNTAIN GATE, SARE YA 1-1
SIMBA leo Februari 6,2025 wamebanwa katika dimba la Tanzanite Kwaraa, Babati kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji Fountain Gate Fc waliomaliza wakiwa pungufu ya mchezaji mmoja baada ya golikipa John Noble kuoneshwa kadi nyekundu kwa kupoteza muda. FT: Fountain Gate Fc 1-1 Simba Sc ⚽ 75’ Chasambi (og) ⚽ 57’ Ateba