
SIMBA HESABU KUBWA KWA WAPINZANI WAO ZIPO HIVI
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo wao dhidi ya Kilimanjaro Wonders hivyo wataingia kwa tahahari lengo ikiwa ni kupata matokeo mazuri. Simba ikiwa imetoka kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Constantine, Uwanja wa Mkapa Januari 19 2025, itakuwa na kibarua kingine uwanjani kusaka ushindi Januari 26…