
SAUTI;KIUNGO MWINGINE ANAYETAJWA KUMALIZANA NA YANGA
IMEELEZWA kuwa baada ya Yanga kumalizana na kiungo Bernard Morrison sasa inakwenda kumtambulisha kiungo mwingine hivi karibuni
IMEELEZWA kuwa baada ya Yanga kumalizana na kiungo Bernard Morrison sasa inakwenda kumtambulisha kiungo mwingine hivi karibuni
KLABU ya Simba, ipo kwenye wakati mzuri wa kumrudisha kikosini hapo kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone kutoka Al Ahly ya Misri. Hiyo ni baada ya Luis kuwa na wakati mgumu ndani ya Al Ahly tangu alipojiunga na timu hiyo Agosti 26, 2021 akisaini mkataba wa miaka minne akitokea Simba. Baada ya Al…
JULAI 9,2022 wanachama wa Yanga kupitia wawakilishi wao ambao ni viongozi kutoka kwenye matawi wanatarajia kufanya uchaguzi kwa ajili ya kumpata Rais,Makamu wa Rais pamoja na Wajumbe watano. Huu hapa ni wasifu wa mgombea nafasi ya Makamu wa Rais ambapo ni Suma Mwaitenda WASIFU: (Taaluma na Kazi) -Mkadiriaji Majenzi (Quantity Surveyor) -Msimamizi wa Miradi (Project…
HAJI Manara,Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa anafarijika akikaa kwenye TV ila akiwa uwanjani anakuwa na presha kubwa azungumzia suala la mechi dhidi ya Coastal Union,ameweka wazi kwamba hakutamka lugha ya matusi mbele ya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF),Wallance Karia
BEKI wa Simba,Henock Inonga ndani ya msimu wa 2021/22 ameweka rekodi yake ya kuwa mchezaji pekee aliyeonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa wale waliopenya kwenye orodha hiyo wakiwa wapo watatu. Kesho kwenye ukumbi wa Rotana Hotel tuzo za Bodi ya Ligi zinatarajiwa kutolewa ambapo moja ya tuzo ambayo inatazamwa kwa ukaribu ni hii iliyokuwa mikononi…
SENZO Mbatha,Mtendaji Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba ni furaha kubwa kwa timu hiyo kuweza kutwa mataji matatu kwa msimu wa 2021/22 huku akibainisha kwamba Haji Manara ni sehemu ya watu ambao wameweza kuleta matokeo hivyo matokeo ambayo wameyapata ni ya kila mmoja na wana jambo la kutamulisha wachezaji wao na kwa mashabiki kuweza kuwaonyesha…
INJINIA Hersi Said ameweka wazi kuwa atafanya mambo makubwa matano akipata nafasi ya kuwa Rais wa Yanga,Julai 9 uchaguzi wa Yanga unatarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere
IKIWA umetulia kwa sasa na kutazama upepo ambavyo upo lazima utasikia kuhusu namna ambavyo kila mwenye nguvu anaingia sokoni kusaka kile ambacho anakihitaji. Huu ni upepo mzuri hasa kwa kila mmoja kupata kile ambacho anakitaka muda huu wa kufanya maandalizi ya usajili kwa wachezaji ambao wanahitajika. Wapo wachezaji ambao wameshapewa mkono wa kwa heri mapema…
KOCHA Mserbia aleta mfumo wa mabao Simba,ndani ya Championi Jumatano
Unguja. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87. Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana….
KLABU ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa imemtimua kazi kocha wake raia wa Argentina Mauricio Pochettino ikiwa ni baada ya kuwa klabuni hapo kwa kipindi cha mwaka mmoja tu. Pochettino ambaye amewahi kuwa kocha wa Totenham Hotspurs ya nchini Uingereza ametimuliwa kibaruani baada ya kutokuwa na matokeo mazuri katika mashindano ya Klabu Bingwa Barani…
MGOMBEA Urais ndani ya Yanga,Injinia Hersi Said amebainisha kwamba atajenga uwanja ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua watu 20,000
KIPA namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya kwa msimu wa 2021/22 amekaa langoni kwenye mechi 9 za ligi ambapo aliweza kufungwa kwenye mechi tatu. Tupo naye kwenye mwendo wa data kuangalia kile ambacho alikifanya katika kutimiza majukumu yake namna hii:- Dk 540 za ushujaa Kwenye mechi 6,Kakolanya alikuwa shujaa kwa kuweka lango salama ambapo hakuweza…
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Singida Big Stars iliyo na maskani yake mkoani Singida Hussein Massanza amesema kuwa mchezaji aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Klabu ya Mbeya Kwanza iliyoshuka daraja Habibu Kyombo ameiomba klabu hiyo kuvunja mkataba kutokana na kuwa na malengo makubwa zaidi. Meneja huyo amebainisha kuwa Kyombo alitoa sababu ambazo…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amemuomba msamaha Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Wallace Karia kutokana na tukio lililotokea Jijini Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam. Mara baada ya mchezo huo kuna video iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Ofisa huyo wa Yanga akijibizana au…
INJINIA Hersi Said anabainisha masuala ambayo atafanya ikiwa atachaguliwa kuwa Rais wa Yanga uchaguzi ambao unatarajiwa kufanyika Julai 9,2022
SELAMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa msimu wa 2021/22 haukuwa mzuri kwao jambo ambalo liliwafanya waweze kushindwa kutwaa mataji waliyokuwa wanatetea.Kusuhu wachezaji ambao wataondoka katika kikosi hicho ni suala la kusubiri ripoti itakavyokuwa siku ikifika