
RAIS MPYA ANATAKA KUWEKA REKODI YA CAF JANGWANI
RAIS wa Klabu ya Yanga,Injinia Hersi Said ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo ametoa ahadi ya kuweka rekodi ya kuifanya Yanga kuwa timu ya kwanza kubeba ubingwa wa Caf. Yanga imebeba mataji matatu msimu wa 2021/22 ikiwa ni Ligi Kuu Bara, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) na Ngao ya…