
CR 7 HAUZWI KOCHA MANCHESTER UNITED ATHIBITISHA
KOCHA wa Manchester United raia wa Uholanzi Eric Ten Hag amewaambia Waandishi wa Habari kuwa mshambuliaji wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hauzwi. Ten Hag ameyasema hayo kufuatia kuwepo kwa tetesi zinazomuhusisha nyota huyo kutimka katika viunga vya Old Trafford kufuatia klabu hiyo kutoshiriki katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya maarufu kama UEFA. “Hajaniambia…