
NEYMAR JR AGOMEA ISHU YA KUONDOKA PSG
NYOTA wa Klabu ya PSG,Neymar Jr amebainisha kuwa anataka kubaki ndani ya timu hiyo japo hakuna ambaye amezungumza naye kujua hatma yake. Mkataba wake ndani ya PSG unatarajiwa kumeguka mwaka 2026 amekuwa akitajwa kwamba anaweza kuuzwa katika kikosi hicho. Staa huyo alisajiliwa na PSG kwa rekodi kubwa ilikuwa ni 2017 akitokea Barcelona anatajwa kuwa anaweza…