
MANZOKI:TULIENI NAKUJA SIMBA,YANGA YAFUNIKA
MANZOKI:Tulieni nakuja Simba,Yanga yafunika ndani ya Spoti Xtra Jumapili
MANZOKI:Tulieni nakuja Simba,Yanga yafunika ndani ya Spoti Xtra Jumapili
DAKIKA 90 zimekamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 0-2 Vipers SC kwenye mchezo wa kirafiki. Mchezo wa leo ulikuwa maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji pamoja na uzi mpya wa Yanga utakaotumika msimu wa 2022/23. Ni kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi leo Agosti 6,2022 ambapo mashabiki na wanachama wa Yanga…
KIUNGO wa Yanga, Bernard Morrison ambaye amerejea katika kikosi hicho kwa kusaini dili la miaka miwili ameweka wazi kuwa anahitaji msamaha kwa yale ambayo aliyafanya na sasa amerejea. Jina la kiungo huyo lilipotajwa aliingia uwanjani huku akisema nimerudi,nimerudi jamani. Nyota huyo alitambulishwa kwa mara ya kwanza na Yanga kabla ya kusaini dili la miaka miwili…
MSHAMBULIAJI Yusuph Mhilu amepewa dili la mwaka mmoja kuweza kuitumikia Klabu ya Kagera Sugar. Ni mwaka mmoja ameweza kusaini kuitumikia timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara na inatumia Uwanja wa Kaitaba. Atakuwa hapo kwa mkopo kwa kuwa alisaini dili la miaka mitatu Simba na ametumia mwaka mmoja. Msimu uliopita wa 2021/22 hakuwa chaguo la kwanza…
UWANJA wa Mkapa mambo ni byutibyuti,mashabiki wa Yanga baadhi tayari wapo ndani ya uwanja kusubiri burudani na utambulisho wa wachezaji wapya huku mambo yakiwa ni byutibyuti. Mbali na utambulisho huo pia kuna mechi ya kimataifa ya kirafiki ambayo inatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku itakuwa dhidi ya Vipers SC. Mgeni rasmi wa shughuli ya leo ni Makamu…
HATIMAYE kikosi cha Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ‘Beach Soccer’ ambacho kinajiandaa na mchezo wa marudiano wa kufuzu AFCON (BSAFCON) dhidi ya Malawi utakaofanyika kesho Agosti 7, 2022, yameendelea kufunga hesabu yake ya maandalizi hayo kwenye Fukwe za Coco jijini Dar es Salaam. Katika mazoezi ya mwishomwisho yaliyofanyika jana Ijumaa Agosti 5 na…
ZIKIWA zimebaki siku 6 kabla ya watani wa jadi kukutana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii,Agosti 13 ipo wazi kuwa makocha wote wawili wataibiana mbinu. Ni mchezo wa Yanga v Simba ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa na timu zote zinahitaji ushindi kwa kuwa hakuna sare katika mchezo huo. Nasreddine Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga atakuwa wa…
AGOSTI 6,2022 leo ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambayo ilikuwa imeambatana na matukio ya kurejesha kwa jamii. Pitso Mosimane kocha mwenye uzoefu na mechi za kimataifa Afrika ambaye ni raia wa Afrika Kusini ni miongoni mwa watakaoshudia mchezo wa kimataifa wa kirafiki wa Yanga inayonolewa na Nasreddine Nabi dhidi ya Vipers FC ya Uganda….
ARSENAL wameanza Ligi Kuu England kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Crystal Palace ugenini watupiaji walikuwa ni Gabriel Martinell dk ya 20 na Marc Guehi OG dk ya 85. Arsenal inakuwa ni timu ya kwanza msimu wa 2022/23 kuweza kufunga na kuongoza ligi. Mbali na hilo kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Selhurst Park…
IKIWA kwenye maboresho ya kikosi chao kwa msimu wa 2022/23 Klabu ya Polisi Tanzania imemalizana na kiungo wa kimataifa Ambroes Awio raia wa Ugada pamoja na mzawa Khamis Kanduru. Wote wawili wamesaini mkataba wa miaka miwili hivyo kwa msimu ujao watakuwa ndani ya kikosi hicho ambacho kimeweka kambi Dar. Msimu uliopita Awio alikuwa ndani ya…
LEO ni byutibyuti Wananchi, Simba yafanya balaa yashusha straika Mserbia ndani ya Championi Jumamosi
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini amesema baada ya kutumika akiwa kocha kwa miaka 21, sasa ameamua kupumzika ili kufanya mambo mengine nje ya ukocha. Pitso amesema hayo leo , Agosti 5, 2022 wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam baada ya kukaribishwa na Klabu ya…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kukusanya mataji yote matatu iliyotwaa kwa msimu wa 2021/22. Ni Ngao ya Jamii,Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho ambayo waliyatwaa msimu uliopita yote yalikuwa mikononi mwa Simba hivyo wanakazi ya kuweza kuyatetea kwa mara nyingine tena. Ofisa Habari wa Yanga,Hassan Bumbuli amesema kuwa wanatambua kwamba…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ripoti ya usajili amayo inatumika kwa sasa ni ileiliyoachwa na aliyekuwa kocha wa timu hiyo Pablo Franco raia wa Hispania. Pablo alikuwa ndani ya Simba msimu wa 2021/22 alipobeba mikoba ya Didier Gomes alichimbishwa hapo baada ya kushindwa kutimiza makubaliano yalikuwa kwenye mkataba na mchezo wake wa mwisho ilikuwa ni Mei 28. Katika…
MTUNISIA Nasreddine Mohammed Nabi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo ya ‘Wananchi’ hadi mwaka 2024. Licha ya Nabi kuhitaji ongezo zaidi la mshahara ambao wameafikiana, kingine ni mipango yake ndani ya mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania. Nabi anaamini anaweza kupata mafanikio aliyokosa alikopita, kama Yanga wanavyoamini pia juu yake hasa kufuatia kuimarishwa…
WANACHAMA na mashabiki wa Simba SC, Buchosa nao ni miongoni mwa wale ambao wanaendelea na shughuli za kijamii kabla ya maadhimisho ya Simba Day,Agosti 8,Uwanja wa Mkapa Wanachama hao ambao ni kutoka tawi la Simba Buchosa limeadhimisha sherehe hiyo kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii zilizohudhuriwa na Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo. Akizungumzia…
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Ethiopia, Saint George S.C watakuwa Dar kwenye mchezo wa Simba Day Agosti 8. Siku hiyo itakuwa ni maalumu kwa ajili ya Klabu ya Simba kuweza kutamulisha wachezaji wapya pamoja na uzi mpya. Pia itakuwa ni siku ya kutambulisha benchi jipya la ufundi ambapo kwa sasa Kocha Mkuu ni Zoran Maki…