
MAPEMA TU HAMTAAMINI NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MAPEMA tu hamtaamini ndani ya Championi Jumamosi
MAPEMA tu hamtaamini ndani ya Championi Jumamosi
RAISI wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika, Patrice Motsepe ametangaza kuanzishwa kwa mashindano mapya ya vilabu Afrika yatakayo julikana kama “CAF Super League” alipokuwa akizungumza katika mkutano mkuu wa CAF uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha nchini Tanzania. Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi Agosti,2023 ikihusisha timu 24. Malengo makubwa ya michuano hiyo ni kusaidia timu…
MAKI Zoran,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga huku akimtaja Aishi Manula kuwa ataukosa mchezo huo wa Ngao ya Jamii kwa kuwa bado hajapona
JESUS Moloko kiungo wa Yanga kesho anatarajiwa kuweza kucheza kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kiungo huyo alikwama kuanza kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Vipers SC ya Uganda wakati Yanga ilipopoteza kwa kufungwa mabao 2-0 Uwanja wa Mkapa. Nasreddine Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kwamba watacheza…
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula kesho anatarajiwa kuukosa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga kutokana na kuwa bado hajawa fiti. Manula alipata maumivu kwenye mchezo wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya Somalia uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki amesema kuwa…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kuchezwa kesho Agosti 13 Uwanja wa Mkapa tayari sti ya waamuzi imewekwa wazi. Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya ufunguzi wa msimu wa 2022/23 unaotarajiwa kuanza Agosti 15,2022. Kwa upande wa mwamuzi wa kati ni Elly Sasii akisaidiana na Mohamed Mkono ambaye atakuwa msaidizi namba moja….
UONGOZI wa Yanga umemtakia kila la kheri Hassan Bumbuli ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa timu hiyo. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Yanga imeeleza kuwa mkataba wa Hassan Bumbuli umekwisha hivyo hataongezewa mkataba mwingine. Bumbuli alikuwa ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya kikosi cha Yanga ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine…
AGOSTI 13 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga v Simba kuna nyota ambao itakuwa ni dabi yao ya kwanza. Chini ya Zoran Maki wachezaji hao ni pamoja na Moses Phiri aliibuka Simba akitokea Zanaco. Pia yupo Nassoro Kapama mzawa kutoka ndani ya Kagera Sugar. Habib Kyombo mzawa kutoka…
AGOSTI 13 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga v Simba. Ni saa 1:00 usiku mchezo huo unatarajiwa huku kila timu ikiwea wazi kwamba inahitaji kupata ushindi. Kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kuna mastaa wapya ambao itakuwa ni mara yao ya kwanza kucheza mchezo wa Kariakoo…
BAADA ya uongozi wa Simba kukamilisha usajili wa straika Mserbia, Dejan Georgijevic, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Ismail Rage, amefunguka kuwa, msimu huu wanakwenda kurudisha mataji yote waliyopoteza msimu uliopita. Simba imeendelea kujiimarisha kwenye eneo lake la ushambuliaji ambapo msimu huu wamekamilisha usajili wa viungo washambuliaji Nelson Okwa, Moses Phiri, Augustine Okrah na straika…
REAL Madrid wamebeba taji la UEFA Super Cup kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya EIntracht Frankfurt katika mchezo wa fainali uliokuwa na ushindani mkubwa. Ni mabao ya David Alaba dk 37 na Karim Benzema dk ya 65 yaliweza kuipa taji timu hiyo katika fainali iliyochezwa Uwanja wa Helnsiki usiku wa kuamkia Agosti 11. Licha…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
KIKOSI cha KMC FC kinachoshiriki Ligi Kuu Bara, msimu ujao kitakuwa na jeshi la wachezaji 27 kati yao nyota 14 ni wapya. KMC msimu uliopita ilimaliza ligi ikiwa nafasi ya 10 na pointi 35 baada ya kucheza mechi 30 huku Kocha Mkuu, Hitimana Thiery akibaki na nyota 13 aliokuwa nao msimu uliopita wa 2021/22. Ofisa…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa viingilio vimewekwa wazi leo Agosti 10,2022. Mastaa ambao wanatarajia kuweza kucheza mchezo huo ni pamoja na Aziz KI,Bernard Morrison kutoka Yanga,Nelson Okwa, Victor Ackpan wa Simba. Ni 5,000 kwa mzunguko kwenye viti vya kijani na bluu,kwa upande wa…
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Dunia FIFA, Gianni Infantino amesema kuwa kukuza mpira wa Afrika kunahitaji ushirikiano mkubwa na kila mmoja ili kuweza kufikia mafanikio. Inafantino aliwasili Tanzania Agosti 9 alipokelwa na mwenyeji wake ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Wallace Karia pamoja na viongozi wa TFF ameweka wazi kuwa…
TAREHE ya ufunguzi wa michuano ya Fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar imerudiswa nyuma siku moja ili kuruhusu wenyeji kufungua pazia hilo. Tarehe ya ufunguzi wa mashindano hayo ilipaswa kuwa Novemba 21, 2022 huko Qatar siku ya Jumatatu, kungekuwa na mchezo kati ya Senegal dhidi ya Uholanzi. Baada ya maombi kutoka kwa wenyeji Qatar…