
SAUTI:NABI ABAINISHA KUWA MUUNGANIKO UMEPATIKANA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga alifunga msimu wa 2022/23 kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania mchezo uliochezwa Uwanja wa heikh Amri Abeid huku akibainisha kuwa tayari muunganiko kwenye kikosi hicho umeanza kupatikana.