
MAN UNITED YAICHAPA LIVERPOOL
MANCHESTER United imesepa na pointi tatu mazima mbele ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Traford. Mabao ya Jadon Sancho dakika ya 16 na Marcus Rashford yalitosha kuipa pointi tatu muhimu timu hiyo. Bao la Liverpool lilifungwa na Mohamed Salah dakika ya 81. Rekodi zinaonyesha kuwa United ilipiga jumla ya…