
KIUNGO MNIGERIA MAMBO SAFI SIMBA, MWENYEWE AZUNGUMZA
KOCHA Mkuu wa Simba, Mserbia, Zoran Maki, amebadili uamuzi na haraka amembakisha kiungo wake mkabaji, Mnigeria, Victor Akpan kwa ajili ya kuendelea kuicheza timu hiyo. Hiyo ikiwa ni siku moja tangu kocha huyo achukue uamuzi wa kuwaacha nyota wake watatu ambao John Bocco, Nassoro Kapama na Akpan. Akpan ni kati ya wachezaji ambao awali waliondolewa…