
VIDEO:ISHU YA MANZOKI KUACHANA NA MSIMBAZI IPO HIVI
CESAR Manzoki nyota wa Vipers SC ya Uganda alikuwa kwenye hesabu za kutua ndani ya Simba ila mpango huo umekwama, siri ya Simba kuachana na nyota huyo imebainishwa kwamba ni dau pamoja na kupata timu mpya nchini China.