
MASTAA WATATU WAWANIA TUZO SIMBA
MASTAA watatu wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Zoran Maki wametajwa kwenye kipengele cha kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player of the Month). Tuzo hizo zimerejea kwa mara nyingine tena baada ya ligi kukamilika kwa msimu wa 2021/22 na mabingwa kuwa Yanga huku Simba wakiwa ni washindi…