
MUDA WA MAANDALIZI UMEFIKA KWA SASA ILI KAZI IENDELEE
MUDA wa kazi umefika kwa kuwa kulikuwa na ule wa maandalizi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23 ambao utakuwa na ushindani mkubwa. Kufika tamati wa maandalizi ya msimu uliopita inamaana kwamba sasa tunakwenda kuanza jambo lingine na kutokana na namna ambavyo timu zimejipanga litakuwa ni jambo la maana kweli. Tayari ratiba imeshatolewa hivyo inamaanisha…