
YANGA YAICHAPA KICHAPO ZALAN KWA MKAPA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga ambao wanaiwakilisha Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wameibuka na ushindi mkubwa wa mabao 5-0 dhidi ya Zalan FC. Ni kwenye mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika na kuwafanya washinde kwa jumla ya mabao 9-0 dhidi ya Zalan FC ukiwa ni ushindi mkubwa kutokea kwa hivi…