
FEDHA INAONGEA, YANGA WANAISHI KISHUA, MGUNDA APEWA SIKU 180
FEDHA inaongea, Yanga wanaishi kishua, Mgunda apewa siku 180 ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
FEDHA inaongea, Yanga wanaishi kishua, Mgunda apewa siku 180 ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
JONAS Mkude, kiungo wa kazi ndani ya Simba amepachika bao pekee la ushindi mbele ya Tanzania Prisons dakika ya 85 na kuipa pointi tatu muhimu. Ulikuwa ni mchezo huru kwa timu zote mbili ndani ya dakika 90 kwa kila timu kutengeneza mashambulizi ya kushtukiza katika kusaka ushindi. Dakika 45 zilikuwa ngumu kwa timu zote mbili…
HAIJAWAHI kutokea ishu ya uwanja wa Yanga Injinia Hersi ambaye ni Rais ana mpango mkubwa
NDANI ya Yanga ni Fiston Mayele anaongoza kwa kutupia mabao akiwa nayo matatu, aliwatungua Polisi Tanzania, Coastal Union na Mtibwa Sugar. Msimu uliopita Mayele alitupia mabao 16 na pasi nne za mabao kinara alikuwa ni George Mpole wa Geita Gold alitupia mabao 17. Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kila mchezaji anahitaji kufanya…
UWANJA wa Sokoine dakika 45 zimekamilika kwa timu zote kukamilisha bila kupata bao la uongoza. Ubao unasoma Tanzania Prisons 0-0 Simba huku kila timu zikitengeneza mashambulizi kwa kushtukiza. Ni Ezekiel Mwashilindi ni mwiba kwa Simba kutokana na kutibua mipango huku beki Henock Inonga akiwa na kazi ya kuongoza safu ya ulinzi akishirikiana na Kenned Juma….
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda leo kinakazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons ambao nao wanazitaka pia. Hiki hapa kikosi cha kwanza kinachotarajiwa kuanza, Uwanja wa Sokoine:- Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Kennedy Juma Henock Inonga Jonas Mkude Clatous Chama Mzamiru Yassin Habib Kyombo Moses Phiri Pape Sakho…
SEPTEMBA 17,2022 Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC, Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku ambapo kuwaona mastaa wa Yanga ikiwa ni pamoja na Farid Musa, Fiston Mayele, Feisal Salum ni buku mbili tu, (2,000). Kwa upande wa VIP A…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo ametembelea Uwanja wa Mo Simba Arena uliopo Bunju. Makala ameruhusu uongozi wa Klabu ya Simba kuendelea na mradi wa ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo hilo ukiwa ni mpango kazi wa ujenzi wa viwanja vya michezo. Aidha kiongozi huyo amewaagiza watu waliovamia eneo hilo kuhama ndani…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa mipango yao kwa ajili ya mechi zijazo ni imara na pongezi kwa wachezaji kufanikiwa kupata pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar
FAROUKH Shikalo, kipa namba moja wa Mtibwa Sugar ameweka wazi kuwa kuna kazi ya kufanya ili kupata matokeo kwenye mechi zao ambazo watakuwa wanacheza
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Geita Gold wamewashukuru mashabiki kwa sapoti yao licha ya kupoteza mchezo wa kwanza kimataifa kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Hilal Al Sahil. Kocha Mkuu wa Geita Gold, Felix Minziro aliongoza kikosi hicho kwenye mchezo huo na sasa ni mahesabu kuelekea mchezo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa Uwanja…
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtiwa Sugar amesema kufungwa na Yanga imekuwa ni siku mbaya kwao na wachezaji walikuwa wazito
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo chimbo kwa sasa kumtafuta mbadala wa beki wa kazi, Shomari Kapombe
MZEE wa Utopolo wa Yanga anakera, huyu hapa tambo zake baada ya ushindi wa mabao 3-0 waliopata Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkapa
LIGI Kuu Tanzania Bara leo Septemba 14 inaendelea kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Tanzania Prisons wataikaribisha Simba kwenye mchezo wao wa ligi. Ikumbukwe kwamba Tanzania Prisons ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mbeya City na Simba ililazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya KMC. Benjamin Asukile nyota wa Tanzania Prisons ameweka…
AZAM FC imefikisha pointi 8 kibindoni na kuwa nafasi ya pili kwenye msimamo baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City. Ni bao la Idris Mbombo ambaye alipachika dakika ya 60 kwenye mchezo huo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sokoine. Ni bao la kwanza kwa Mbombo msimu wa 2022/23 ambaye alikamilisha msimu wa…
HAIJAWAHI tokea, ujenzi Uwanja wa Yanga noma, Mgunda hatujamaliza ndani ya Championi Jumatano