HIVI NDIVYO NAMNA SIMBA ITAKAVYOTUSUA CAF
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa njia pekee itakayowapeleka katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ni kushinda mechi zote za nyumbani kurejesha hali ya kujiamini zaidi. Ipo wazi kuwa baada ya kucheza mechi tatu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo ni dakika 270, Simba haijaambulia ushindi ndani ya uwanja. Ilipoteza…