
SHABIKI WA SIMBA ASHINDA MAMILIONI YA M BET
SHABIKI wa Klabu ya Simba anayeishi mkoani Arusha, Joseph Marwa ameshinda sh 60, 321,350 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 za ligi mbalimbali duniani kupitia mchezo wa Perfect 12 wa kampuni ya M-Bet. Marwa ambaye ni mjasiriamali amesema kuwa awali hakuwa na imani na michezo ya kubashiri kabisa mpaka alipofuatwa kukopwa fedha ya nauli na…