
SAUTI:KOCHA IBENGA AWA MPOLE, KISA REKODI YAKE UWANJA WA MKAPA
KOCHA Mkuu wa Al Hilal, Ibenge ameshtuka kuhusu rekodi yake ya kushindwa kupata matokeo akiwa ardhi ya Tanzania jambo ambalo linamfanya ajipage kuikabili Yanga, Oktoba 8,2022 mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika