
KMC HESABU ZAO NI KUELEKEA MTIBWA SUGAR
BAADA ya ubao wa Uwanja wa Uhuru kusoma KMC 0-0 Ruvu Shooting, Oktoba 7,2022 hesabu za wazee wa pira kodi ni kuelekea mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala ameweka wazi kuwa maandalizi yanakwenda sawa na wachezaji wana morali kubwa kuelekea mchezo huo. Christina amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa…