
KIMATAIFA KAZI BADO IPO, MUHIMU KUJITUMA
KUPANGA ni kuchagua ikiwa mpango kazi wa kwanza ulikwama basi kuna mpango wa pili ambao huwa na maamuzi ya mwisho kwenye ulimwengu wa mpira. Kila mmoja kwa sasa macho na maskio ni kwenye mechi za kimataifa ambazo wawakilishi wetu wapo huko wakipambania kombe. Azam FC wao kazi yao ni dhidi ya Al Akhadar ya Libya…