NABI ABAINISHA UGUMU ULIOPO

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kuwakabili wapinzani wao. Kocha huyo amebainisha kuwa ratiba ni ngumu ndani ya ligi hivyo wanapambana nayo kwa ajili ya kupata matokeo. Nabi anaingia uwanjani akiwa na kumbukumbu ya kukusanya pointi moja mbele ya Simba…

Read More

KMC WAIVUTIA KASI YANGA

 BAADA ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC kituo kinachofuata kwa KMC ni dhidi ya Yanga mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa,Oktoba 26. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo na wanaamini kwamba watapata matokeo. Kwenye msimamo KMC ipo nafasi…

Read More

SIMBA KUPATA ADHABU KISA MECHI YA YANGA

KLABU ya Simba SC inasubiri adhabu kutoka katika Bodi ya Ligi Kuu Bara kwa sababu ya kufikisha kadi za njano tano (5) katika mchezo mmoja ambazo ni kinyume na kanuni. Katika mchezo wa Oktoba 23, 2022, Derby ya Kariakoo, klabu ya Simba SC imepata kadi za njano tano huku watani wao wa jadi, Klabu ya…

Read More

NABI ISHU YAKE YA KUFUTWA KAZI IPO HIVI

 INAELEZWA kuwa Nasreddine Nabi amefikia makubaliano ya kuachana na Yanga kutokana na kushindwa kufikia malengo ambayo yalipangwa. Timu hiyo malengo makubwa ilikuwa ni kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika iligotea kwenye hatua za mtoano kwa kuodolewa kwa jumla ya mabao 2-1 dhidi ya Al Hilal. Mchezo wao wa ligi dhidi ya Simba ilikuwa…

Read More

MIKOBA YA LAVAGNE MIKONONI MWA ONGALA

KALI Ongala kocha wa washambuliaji Azam FC na Agrey Morris kocha mchezaji wamekabidhiwa timu hiyo kwa sasa kuelekea maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba. Ni Dennis Lavagne alikuwa kocha wa timu hiyo wamefikia makubaliano ya kuachana naye kwa kile kilichoelezwa kuwa hajafikia malengo ambayo walikuwa wamekubaliana. Ofisa Habari wa Azam FC,…

Read More

KMC HAWANA JAMBO DOGO, HIKI WANAKITAFUTA

 UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa unahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ulio mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. KMC chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery imekusanya pointi 13 baada ya kucheza mechi 8 za ligi, imeshinda tatu, sare nne na imepoteza mchezo mmoja ikiwa nafasi ya tatu.  Christina Mwagala, Ofisa…

Read More

DAKIKA 90 ZAKIBABE KARIAKOO DABI

DAKIKA 90 za Kariakoo Dabi kila mmoja kasepa na pointi moja baada ya sare ya kufungana bao 1-1 Uwanja wa Mkapa. Simba walianza dakika ya 14 kupitia kwa Augustino Okra ambaye alionyeshwa kadi ya njano na mwamuzi Ramadhan Kayoko kwa kosa la kushangilia akiwa amevua jezi. Ngoma iliwekwa usawa na Aziz KI kwa pigo huru…

Read More

MWAMUZI WA KADI NYEKUNDU, TUTA, KUAMUA YANGA V SIMBA

WATANI wa jadi Yanga na Simba wapo kwenye mtihani mzito kutokana na kupewa mwamuzi mwenye rekodi ya kutoa kadi za njano, nyekundu pamoja na penalti kwenye mechi ambazo alikuwa kati. Leo Uwanja wa Mkapa ulimwengu utashuhudia Kariakoo Dabi ambapo tayari waamuzi wameshatangazwa ikiwa ni pamoja na Ramadhan Kayoko atakayekuwa mwamuzi wakati. Rekodi zinaonyesha kuwa Oktoba…

Read More