
MECHI ZA KUAMUA NANI KUFUZU 16 BORA – UCL
Baada ya mechi 5 za mwanzo kuchezwa, sasa hii ni mechi ya 6 ya kuamua ni nani atafuzu hatua ya 16 bora, nani ataenda Europa nani kufungashiwa vilago UCL, wakati huo Man City, Chelsea, Napoli, Madrid, Inter Milan na PSG, Liverpool, Dortmund, Porto na Club Brugge, Bayern, Benfica wapo sehemu salama, wakati Kundi D yeyote…