
MDAKA MISHALE NA AIR MAULA KIMATAIFA WAMEKIMBIZANA
MDAKA mishale wa Yanga, Djigui Diarra, kwenye anga la kimataifa amekimbizwa na Aishi Manula maarufu Air Manula wa Simba. Katika mechi nne za Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo Yanga na Simba zimecheza msimu huu, Diarra katunguliwa mabao mawili, huku akiwa na clean sheet mbili. Alifungwa bao mojamoja dhidi ya Al Hilal nyumbani na ugenini kwenye…