RONALDO BANA AGOMA KUSTAAFU

NYOTA wa kikosi cha Manchester United amesema kuwa anaamini bado miaka minne au mitano kwenye soka na pia ana furaha kufanya kazi hiyo anayoipenda. Kwa sasa bado anakipiga ndani ya Manchester United akiwa ni staa anayetajwa kuwa mshambuliaji bora wa muda wote. Nyota huyo kibindoni ana tuzo tano za Ballon d’Or na msimu huu tayari…

Read More

MKUDE AFUNGUKA BAADA YA KUACHWA

MARA baada ya kutangazwa rasmi kutokuwa sehemu ya Simba kwa msimu ujao, aliyekuwa kiungo wa timu hiyo, Jonas Mkude amefunguka kuwa anawashukuru Simba kwa sapoti waliyompa katika kipindi chote cha maisha yake na kuwatakia kila la kheri. Mkude alitangazwa rasmi kutokuwa sehemu ya kikosi cha Simba kwa msimu ujao juzi Alhamisi baada ya kumaliza mkataba…

Read More

SIMBA:WACHEZAJI WAZAWA KWETU WANASIMAMISHA NCHI

 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa usajili wa wachezaji wazawa ndani ya kikosi hicho ni usajili wa kuweza kusimamisha nchi kwa kuwa kila mchezaji ana thamani kubwa. Tayari Simba imetambulisha wachezaji wawili wazawa kwa ajili ya msimu ujao ikiwa ni pamoja na Habib Kyombo aliyekuwa anakipiga ndani ya Mbeya Kwanza na Nassoro Kapama ambaye alikuwa…

Read More

TOTTENHAM YASHINDA 5G,YATINGA 4 BORA

TOTTENHAM Hotspur imeishushia kichapo cha mabao 5-1 Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu England. Mchezo huo umechezwa usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Tottenham Hotspur mbele ya mashabiki 57,553. Mabao ya Ben Davies dk 43,Matt Doherty dk 48,Heung-min Son dk 54,Emerson Leite de Souza Junior dk 63,Steven Bergwijn dk 83 ambaye alianzia benchi…

Read More

KIUNGO WA YANGA FEI AWEKA WAZI SABABU ZA UPAMBANAJI

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ameweka wazi kuwa kazi kubwa ambayo wanaifanya uwanjani ni kusaka ushindi jambo linalowafanya wawe na furaha. Fei ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amekuwa kwenye ubora kila awapo uwanjani. Kesho Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City na wanatarajiwa pia kukabidhiwa taji lao la…

Read More

MSAKO WA VIPAJI UWE NA MWENDELEZO

MWENDELEZO mzuri kwenye uwekezaji kwa vijana unahitajika kuwa wa vitendo kwa kila timu na sio kuishia kupiga picha na porojo ambazo zinaishi kila siku. Ipo wazi kwa sasa vijana wengi wanaopewa nafasi kikosi cha kwanza kwenye timu za wakubwa wanahesibaki hasa ukiziweka kando Azam FC, Mtibwa Sugar, Ihefu na Kagera Sugar. Kuna timu ni ngumu…

Read More

COASTAL UNION YATOSHANA NGUVU NA PRISONS

POINTI moja waliyovuna kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons inawabakisha Coastal Union kwenye nafasi ile ya nne. Mei 6 2024, Coastal Union ilikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Tanzania Prisons kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Coastal Union 0-0 Tanzania Prisons…

Read More

LEGEND MKUDE DAKIKA MOJA KAAGWA SIMBA

LEGEND Jonas Mkude ameaagwa na mabosi zake wa Simba kwa muda wa dakika moja baada ya kujiunga na Yanga. Mkude ni ingizo jipya ndani ya Yanga akiungana na viungo wengine ikiwa ni Aziz KI, Zawad Mauya ambao walikuwa katika kikosi cha Yanga kilichotwaa ubingwa msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba Mkude alidumu ndani ya Simba kwa…

Read More

DESEMBA INAFUNGULIWA KWA KAZI KIMATAIFA

GHAFLA yule uliyempa ahadi utamlipa Desemba, ngoma hii hapa imeshafika kazi kukamilisha madeni kwa wakati. Weka kando hilo, kwa wawakilishi wa kimataifa kuna shughuli nzito kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Madeni yote waliyoahidi kuyalipa leo Desemba 2 kwa nyakati tofauti kila mmoja atakuwa na dakika 90 za kulipa mmoja atakuwa nyumbani na mwingine huko ugenini…

Read More

SIMBA YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA VIPERS

LICHA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-0 Vipers bado lile pira Dubai kwa Simba linasakwa kwa tabu sana na ubutu wa ushambuliaji ukiwa ni shida. Bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi limefungwa na Clatous Chama katika dakika ya 45. Shukrani kwa Aishi Manula kwa kazi…

Read More