
KOCHA ORLANDO PIRATES AGOMEA USHINDI WA SIMBA
KOCHA wa Orlando Pirates, Mandla Ncikazi amesema Simba imewahujumu kwenye mchezo wao wa kimataifa waliocheza jana Uwanja wa Mkapa. Baada ya dk 90, ubao ulisoma Simba 1-0 Orlando kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya kwanza uliokuwa na ushindani mkubwa. Kocha huyo amesema:”Kama wameshinda basi kwa penalti ambayo naona kwamba sio sawa kwani walileta…