
UFARANSA WAPIGA 4G
MABINGWA watetezi wa Kombe la Dunia wamepindua meza kibabe na kusepa na pointi tatu mazima kwenye mchezo wa kwanza wa makundi dhidi ya Australia. Austaralia wakiwa Uwanja wa Al Janoub mbele ya mashabiki 40,875 walianza kupata bao la kuongoza mapema dakika ya 9 kupitia kwa Craig Goodwin. Ni Adrien Rabiot alipachika bao dakika ya 27,…