UKUTA WA WANANCHI MGUMU DAKIKA 180 KIMATAIFA

UKUTA wa Yanga kimataifa ndani ya dakika 180 haujaokota bao katika hatua za awali mbele ya Zalan FC. Mchezo wa kwanza nyota wa Yanga ikiwa ni pamoja na Dickosn Job, Bakari Mwamnyeto, Kibwana Shomari hawakuokota bao sawa na ule wa pili, yote ilichezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mabao 9 wameweza kufunga Yanga na kinara wao…

Read More

DAKIKA 45, YANGA 1-0 DODOMA JIJI

UWANJA wa Mkapa, Desemba 31, mchezo wa Ligi Kuu Bara dakika 45 zimekamilika ubao unasoma Yanga 1-0Dodoma Jiji. Mtupiaji wa bao ni Fiston Mayele ambaye amepachika bao hilo akiwa ndani ya 18. Ilikuwa ni dakika ya 41 bao hilo ameweza kulioachika kwenye mchezo wa leo ambao umekuwa na ushindani mkubwa. Yanga wameweza kumiliki mpira kwa…

Read More

PRISONS KUJIPANGA UPYA

BAADA ya jana kupoteza mbele ya Simba kwa kufungwa bao 1-0 na kuyeyusha pointi tatu muhimu, Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons amesema kuwa watajipanga upya. Kazumba Shaban amebainisha kwamba mpango wao ulikuwa ni kupata pointi tatu ila walipoteza mchezo huo kwa bao la penalti. “Hesbu zetu ilikuwa ni kushinda mchezo wetu mbele ya Simba lakini…

Read More

MWAMBA KIBWANA SHOMARI BADO YUPO YANGA

BADO yupoyupo sana ndani ya kikosi cha Yanga mwamba Kibwana Shomari ambaye ni mzawa baada ya kuongeza kandarasi nyingine. Yanga kupitia kwa Ofisa Habari Ali Kamwe walibainisha kwamba watafanya usajili bora utakaozingatia vigezo vya uwezo kwa wachezaji ili kuongeza ushindani ndani ya timu. “Kila mchezaji ana nafasi ya kuonyesha uwezo wake na tunaamini kwenye ubora…

Read More

FAINALI YA KIBABE LEO KOMBE LA DUNIA

DESEMBA 18,2022 Fainali ya Kombe la Dunia Qatar 2022 inatarajiwa kufanyika leo Jumapili kwenye Uwanja wa Lusail Iconi. Mataifa mawili yanakutana kumsaka mshindi atakayesepa na taji hilo kubwa duniani. Mabingwa watetezi Ufaransa wenye Klylian Mbappe dhidi ya Argentina yenye Lionel Messi. Argentina leo watacheza fainali yao ya sita kwenye Kombe la Dunia wakiwa wamepotezwa na…

Read More

MECHI ZA NYUMBANI ANGA ZA KIMATAIFA HESABU MUHIMU

MECHI za nyumbani kwenye anga za kimataifa zina umuhimu mkubwa kwa wawakilishi kimataifa kupata ushindi kuzidi kujiongezea hali ya kupata nafasi kutoka kwenye hatua ambayo wapo. Hatua ya makundi ni kituo kinachowasafirisha wawakilishi mpaka hatua ya robo fainali ambayo inaongeza thamani kwa wachezaji pamoja na timu kuzidi kuwa bora. Ushindi kwenye mechi za nyumbani ni…

Read More

IHEFU WAKOMBA POINTI ZA TABORA UNITED

WAKIWA Uwanja wa Highland Estate Ihefu walikomba pointi zote tatu mazima kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tabora United. Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa mwamba Vedastus Mwihambi alipachika mabao yote kwa Ihefu ilikuwa dakika ya 40 na dakika ya 56. Kwenye mchezo huo uliochezwa Desemba 8 ni bao la Andy Bikoko lilikuwa…

Read More

SIMBA WAKALI NDANI YA 18

KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni wakali wa kufunga mabao mengi ndani ya 18 katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 ambao una ushindani mkubwa mwanzo mwisho. Ndani ya NBC Premier League ni mabao 19 mastaa wa Simba wamefunga ikiwa ni namba moja katika timu zilizofunga mabao mengi…

Read More