
FEI TOTO: KWAHERINI YANGA SC, MERRY CHRISTMAS
FEI Toto:Kwaherini Yanga SC, Merry Chritmas, ndani ya Spoti Xtra Jumapili
FEI Toto:Kwaherini Yanga SC, Merry Chritmas, ndani ya Spoti Xtra Jumapili
UNAONA mzunguko wa kwanza ulianza kwa kelele nyingi kutokana na waamuzi kuoneana wakifanya maamuzi ambayo yalikuwa yanaleta utata kwa wachezaji pamoja na mashabiki kushindwa kuelekewa kinachoendelea. Matukio ya kushindwa kutafsri sheria 17 yalikuwa yakiwapeleka mara kwa mara kwenye kamati za maadili kisha wakirejea wanaendelea kuwa kwenye ubor wao. Hii inamaanisha kwamba waamuzi tulioano uwezo wanao…
BAADA ya kujiunga na kikosi cha Simba na kutambulishwa rasmi leo Desemba 24,2022 kiungo Said Ntibanzokiza ameibukia Mwanza. Nyota huyo ambaye alikuwa ndani ya kikosi cha Geita Gold mwanzoni mwa msimu wa 2022/23 atakuwa na uzi wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda. Kikosi cha Simba kwa sasa kipo Mwanza ikiwa ni kwa ajili…
KLABU ya Yanga imebainisha kuwa mchezaji Feisal Salum bado ni mali yao na dili lake linagota ukingoni 2024. Nyota huyo anatajwa kumalizana na mabosi wa Azam FC ambao wameweka dau nono kwa mchezaji huyo. Yanga wamebainisha kuwa mkwanja ambao alirejesha Feisal wakuvunjia mkataba wake amerudishiwa. Feisal ameweka wazi kuwa anashukuru kwa muda ambao wamekuwa nao…
NYOTA wa Yanga Feisal Salum anatajwa kumalizana na mabosi wa Azam FC ambao wanahitaji huduma yake. Nyota huyo anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Azam FC ambao wanahitaji kuboresha kikosi chao. Mabosi wa Yanga hivi karibuni waliweka wazi kuwa nyota huyo hawezi kusepa ndani ya kikosi hicho kutokana na mipango iliyopo ndani ya timu…
CHUMA cha kazi mlangoni Simba, Luis aikubali ofa nono Yanga SC ndani ya Championi Jumamosi
KOCHA Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp alicheka alipoulizwa kama Liverpool inaweza kumsajili Jude Bellingham mnamo Januari lakini alikiri kuwa klabu hiyo imejiandaa kwa dirisha lijalo la usajili. Liverpool wamekuwa wakihusishwa na kiungo wa kati wa Borussia Dortmund Jude Bellingham ili kuimarisha safu yao ya kati ambayo ubora wake umeporomoka kutokana na kuwa na wachezaji ambao…
NYOTA John Lundstram bao lake la kipindi cha kwanza liliweka hai matumaini ya Rangers ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Scotland walipoilaza Ross County 1-0 huko Dingwall. Kombora kali la kiungo huyo lilimfanya bosi mpya Michael Beale kupata ushindi mara tatu ndani ya siku nane pekee baada ya kipa Jon McLaughlin ambaye alifanya kazi kubwa…
KUUMIA kwa mshambuliaji tegemeo wa Simba, Moses Phiri kunalipasua kichwa benchi la ufundi kwa kuwa kila wakifikiria nani atapewa mikoba yao wanavurugwa. Kibu Dennis uwezo wake kwa msimu wa 2022/23 umekuwa mbovu kwa kuwa kila anapopata nafasi maamuzi yake anayajua mwenyewe. John Bocco nahodha wa Simba mwenye mabao matano bado kasi yake ile ya utupiaji…
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye ni mmiliki wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) leo Desemba 23, 2022 ameachia wimbo wake mpya wa Chitaki.
LEGEND kwenye masuala ya habari za michezo Bongo, Saleh Jembe amemzungumzia mwamuzi wa mchezo wa Kagera Sugar 1-1 Simba, ishu ya Job kusajiliwa Simba
FIFA inachunguza jinsi mpishi maarufu Salt Bae na watu wengine kadhaa walipata “nafasi isiofaa” kufika uwanjani mwishoni mwa fainali ya Kombe la Dunia nchini Qatar. Salt Bae, mpishi wa Uturuki ambaye jina lake halisi ni Nusret Gokce, alionekana katika picha akiwa ameshika na kubusu kombe la Kombe la Dunia akisherehekea na wachezaji wa Argentina baada…
SIMBA inatakiwa ivunje benki na kutenga kitita cha Sh 350Mil ili kufanikisha usajili wa straika wa Power Dynamo ya nchini Zambia, Kennedy Musonda ili kuwa pacha wa Mzambia mwenzake, Moses Phiri kikosini hapo. Zambia wanatokea wachezaji wawili tegemeo hivi sasa katika kikosi cha Simba ambao ni kiungo Clatous Chama na Moses Phiri anayecheza nafasi ya…
MTAALAMU wa mipira iliyokufa ndani ya kikosi cha Geita Gold, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, amekubalika ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Juma Mgunda. Saido raia wa Burundi, amekuwa akitajwa kuwa kwenye hesabu za kutua Simba ambao wanahitaji huduma yake kwenye dirisha dogo la usajili lililofunguliwa Desemba 16, mwaka huu ili kuongeza nguvu kwenye eneo…
BEKI wa kati wa Manchester City, Nathan Ake alifunga bao la ushindi kwa kichwa wakati timu hiyo ikiwachapa mabingwa watetezi Liverpool 3-2 katika mchezo wa kusisimua wa Kombe la Carabao. Ushindi huo uliopatkana Uwanja wa Etihad unaipa nafasi City kuweza kutinga hatua ya robo fainali. Licha ya kutocheza kwa mechi za ushindani kwa mwezi mmoja…