AVIATOR SUMMER FLIGHT YA MERIDIANBET: PROMOSHENI BOMBA YA KASINO MSIMU HUU WA SIKUKUU!

Huhitaji kuwa ‘serious’ sana unapojivinjari viunga vya kasino bomba ya mtandaoni ya Meridianbet. Ushindi unaenda sambamba na burudani. Mchezo wa Aviator Summer Flight. Ni Promosheni kabambe kabisa msimu huu wa Sikukuu za Krismas na Mwaka mpya ambayo inaanza Disemba 23 mpaka Disemba 31, 2022. Huu ni mchezo rahisi unaokupa nafasi kubwa ya ushindi kwa kupaa…

Read More

SIMBA QUEENS YAGAWANA POINTI NA YANGA PRINCESS

NYOTA Vivian Corazone Aquino ambaye alianza kusugua benchi kwenye dabi ya Wanawake limetosha kuipa pointi moja Simba Queens ilikuwa dakika ya 59. Baada ya dakika 90 kukamilika kwenye mchezo wa leo Desemba 22,2022 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba Queens 1-1 Yanga Princess. Vivian aliweka mzani sawa kipindi cha pili na kufuta bao matata…

Read More

YANGA KAZI INAENDELEA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameweka wazi kuwa mzunguko wa pili utatoa dira ya wao kufanikisha malengo ya kutetea taji hilo. Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo bora wa kupata matokeo licha ya kupoteza mchezo mmoja kati ya 17 ilipotunguliwa na Ihefu mabao 2-1. Kwa sasa ipo kwenye maandalizi kuelekea kwenye mchezo wao dhidi…

Read More

GEITA GOLD KASI YAO DAKIKA 180 IMEKUWA NGUMU

BAADA ya kucheza mechi 17, Geita Gold wanafikisha kibindoni jumla ya pointi 23 ndani ya Ligi Kuu Bara. Kwenye msimamo ipo nafasi ya 7 huku Azam FC ikiwa nafasi ya tatu na kibindoni ina pointi 38 na zote zipo ndani ya 10 bora kweye ligi. Ndani ya daika 180 kwenye mechi mbili wakiwa nyumbani wamekwama…

Read More

NYOTA YANGA WANAZIDI KUIMARIKA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa bado kasi ya wachezaji wa timu hiyo inazidi kuongezeka na watafanya vizuri mechi zao zijazo. Kwenye mchezo wao uliopita dhidi ya Coastal Union miongoni mwa nyota ambao walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao ni pamoja na Fiston Mayele, Aziz KI, Feisal Salum, Gael na Aziz KI. Ally Kamwe, Ofisa…

Read More

KAGERA SUGAR 1-1 SIMBA, KAITABA

BEKI wa Simba Henock Inonga amepachika bao lake la kwanza leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Ni dakika ya 38 Inonga alipachika bao hilo akiweka usawa ndani ya dakika 45. Ni Kagera Sugar walianza kumtungua Aishi Manula kipa wa Simba ambaye hakuwa na chaguo kuokoa mpira huo. Ilikuwa ni dakika…

Read More

REKODI NA KIKOSI CHA SIMBA V KAGERA SUGAR

KIKOSI cha Simba kitakachoanza dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba hiki hapa:_ Manula ambaye hajafungwa kwenye mechi 10 akiwa ameyeyusha dakika 1306 leo ana kazi ya kuendelea kulinda rekodi yake. Kapombe mchezo uliopita alitoa pasi moja ya bao Zimbwe Jr ana pasi nne za mabao Henock Kaoute nyota pekee mwenye kadi nyekundu ndani ya…

Read More

AZAM FC WAPIGWA NA BUTWAA GEITA WAKIPATA PENALTI

BENCHI la ufundi la Azam FC chini ya Kaimu Kocha Kali Ongala leo Desemba 21 limeshuhudia penalti iliyowaacha kwenye mshangao na kuwapa pointi moja mbele ya Geita Gold. Dakika ya 68 mshambuliaji wa Geita Gold, Danny Lyanga alionekana akipambana kuingia kwenye 18 ya Azam FC na kugongana na mdogo wake Ayoub Lyanga. Mwamuzi wa kati…

Read More

KAZI IPO KESHO UWANJA WA MKAPA

KUELEKEA kwenye mchezo wa kesho wa dabi ya Kariakoo upande wa Wanawake, Simba Queens v Yanga makocha wote wameweka wazi kwamba wapo tayari kwa mchezo huo. Simba Queens ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi ya Wanawake Tanzania watawakaribisha Yanga Princess Uwanja wa Mkapa. Kocha Mkuu wa Yanga Princess ambaye ameibuka hapo muda mfupi baada ya…

Read More