
DAKIKA 180 MBRAZIL ASHUHUDIA MABAO MAWILI YA MZAWA
KIKOSI cha Simba kikiwa nchini Dubai kilicheza mchezo wake wa pili wa kirafiki na kuambulia sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya CSKA Moscow nchini Dubai. Ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera Simba iliyeyusha dakika 45 ikiwa imefungwa mabao mawili na wapinzani wao katika mchezo huo. Kipindi cha pili Simba walionyesha uimara kwenye upande…