
KMC WAPANIA KUIZUIA SIMBA KWA NAMNA YOYOTE
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa kwa namna yoyote ile utawazuia Simba SC kuvuna pointi tatu kwenye mchezo wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Ikumbukwe kwamba awali mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Mei 11 2025 ulipangwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora na maandalizi yalianza kufanyika. Umerejeshwa Dar, Uwanja wa KMC…