
ALI KAMWE APELEKWA KAMATI YA MAADILI
ALI Kamwe ambaye Ofisa Habari wa Yanga amepelekwa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, (TFF) na Ofisa Habari wa Kagera Sugar, Hamis Masanzala. Taarifa iliyotolewa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB), imeeleza kuwa katika kikoa cha Februari 12 2025 walipitia mwenendo wa…