
SIMBA SC KUKUTANA NA RS BERKANE KATIKA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA 2025
Klabu ya RS Berkane ya Morocco imeifuata Simba Sc kwenye fainali ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kufuatia ushindi wa jumla wa 4-1 dhidi CS Constantine ya Algeria kwenye nusu fainali licha ya kupoteza 1-0 kwenye mchezo wa mkondo wa pili. FT: CS Constantine ๐ฉ๐ฟ 1-0 ๐ฒ๐ฆ RS Berkane (Agg. 1-4) โฝ 47โ Belhocini RS…