
SIMBA YAKWEA PIPA KUELEKEA AFRIKA KUSINI
KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids mapema Aprili 23 2025 kimekwea pipa kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch FC unaotarajiwa kuchezwa Aprili 27 2025. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Amaan, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-0…