
MECHI KALI KALI ZA EPL, LALIGA ZIPO HAPA, HAKIKISHA HAWAKUACHI LEO
Leo hii mechi kali Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 itaendelea leo Toulouse atamenyana dhidi ya OGC Nice ambao wapo nafasi ya 5 wakati mwenyeji yeye akiwa nafasi…