
PACOME MTAMBO WA KAZI KWENYE HESABU ZA MNYAMA
MWAMBA mwenye kucheza na kutoa maelekezo ndani ya kikosi cha Yanga, Pacome Zouzoah ni pasua kichwa kutokana na uwezo wake kwenye kupiga pasi ndefu na fupi akiwa uwanjani. Nyota huyo kwenye dirisha dogo ilikuwa inatajwa kuwa yupo kwenye rada za mabosi wa Simba kwa kuwa mkataba wake unagota mwisho inaelezwa kuwa mabosi wa Yanga walifanya…