
YANGA AKILI ZAO ZIMEHAMIA HUKU SASA
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga akili zao kwa sasa ni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma. Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 52 baada ya kucheza mechi 20 ambazo ni dakika 1,800 kinara wa utupiaji mabao ni Clement Mzize mwenye…