
SIMBA WAPOTEANA KWA MKAPA, KOCHA AKASIRISHWA NA MATOKEO
REKODI ya kipa namba moja wa Simba, Mousa Camara kuvuna hati safi mbele ya Azam FC kwa mara nyingine tena mzunguko wa pili, Februari 24 2025 iligonga mwamba kwa kushuhudia akitunguliwa mabao mawili ndani ya dakika 90. Mapema Camara alitunguliwa dakika ya kwanza na nyota wa Azam FC, Gibrill Sillah na bao hilo liliwekwa usawa…