
MBRAZIL: NAIPELEKA SIMBA FAINALI CAF, KISA YANGA, FEI TOTO AIPIGIA MAGOTI TFF
MBRAZIL:Naipeleka Simba fainali CAF, kisa Yanga, Fei Toto aipigia magoti TFF, ndani ya Championi Jumatano
MBRAZIL:Naipeleka Simba fainali CAF, kisa Yanga, Fei Toto aipigia magoti TFF, ndani ya Championi Jumatano
KOCHA Mkuu, Juma Mgunda akiwa amefanya mabadiliko makubwa kikosi cha kwanza kwa kumuazisha Beno Kakolanya langoni huku nahodha akiwa ni Gadiel Michael alionja joto ya jiwe. Baada ya dakika 90 kukamilika Simba ambao ni mabingwa watetezi ubao ulisoma Simba 0-1Mlandege. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Abubakar Mwadin dakika ya 75 ya mchezo huo…
BAO la mapema kipindi cha kwanza kwa Azam FC lililofungwa na Ayoub Lyanga halikutosha kuipa pointi tatu timu hiyo. Ni kwenye Kombe la Mapinduzi ambalo linafanyika visiwani Zanzibar huku kila timu zikonyesha ushindani mkubwa. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Azam FC 1-1 Malindi FC na kufanya matajiri hao wa Dar kugawana pointi mojamoja….
MUDHATHIR Yahaya kiungo wa zamani wa Azam FC ametambulishwa ndani ya Yanga leo Januari 3,2023 ikiwa ni usajili wa kwanza kwa Yanga dirisha dogo. Muda kapewa dili la miaka miwili kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Nasreddine Nabi. Ikumbukwe kwamba awali nyota huyo alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Simba ambao wanatajwa kufanya…
RASMI Klabu ya Simba imemtangaza kocha Robertinho Oliveira kuwa kocha wao mkuu kupitia mkutano mkuu wa waandishi wa Habari uliofanyika leo Januari 3,2023. Kocha huyo anakuja kuchukua nafasi ya Zoran Maki aliyebwaga manyanga hapo mwanzoni mwa msimu huu. Kocha huyo mpya ni raia wa Brazil na alikuwa anaifundisha Klabu ya Vipers ya Uganda ambayo ameachana…
JANUARI Mosi 2023 ilishuhudiwa penalti ambayo iliwafanya wachezaji wa Namungo FC kuonekana wakimlalamikia mwamuzi kutokana na mazingira ya penalti hiyo kuleta utata. Langoni kwa Namungo FC alikaa kipa mzawa Deogratius Munish, ‘Dida’ ambaye hakuwa na chaguo kutokana na mpigaji kupiga kwa umakini. Ni Maabad Maulid alifunga bao hilo akisawazisha bao lililofungwa na Ibrahim Mkoko nakuwafanya…
KLABU ya Brentford kwenye Ligi Kuu ya Uingereza inaandika rekodi yao baada ya kupata ushindi wa kwanza dhidi ya Liverpool tangu 1938 lwa ushindi wa mabao 3-1. Ibrahim Konate alikumbana na hali kama ile ya Wout Faes wa Leicester Ijumaa usiku, akigeuza mpira wavuni kwake bila kukusudia (19), kisha Yoane Wissa kupachika bao la pili…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema maandalizi yapo sawa na wataonyesha ushindani. “Tupo tayari kwa ushindani na tunajua kwamba haitakuwa kazi rahisi hivyo mashabiki wajue kwamba tutaonyesha ushindani. “Wachezaji wote ambao wapo kwenye kikosi cha Simba ni mali ya Simba na wanapaswa kutumikia timu yao. Januari 2,2023 kikosi cha Simba kiliibuka ndani…
WANANCHI wana uhakika wa kupata huduma ya Djigui Diarra ndani ya kikosi cha Yanga mpaka 2025. Chaguo namba moja la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameongeza dili jipya kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mkataba wake wa mwanzo ulikuwa unagota ukingoni mwishoni mwa msimu huu wa 2022/23. Mchezo wake uliopita kwenye ligi kuu langoni ilikuwa dhidi ya Mtibwa…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa unalitaka Kombe la Mapinduzi hivyo hawatafanya makosa kwenye mashindano hayo. Ni Simba ambao ni mabingwa watetezi wa taji hilo la heshima ambalo limeanza Januari 2023, visiwani Zanzibar. Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amesema kuwa wanatambua ushindani ni mkubwa lakini wamedhamiria kufanya kweli. “Hatuna utani raundi hii…
Simba full mkoko,rasmi Yanga wamshitaki Fei Toto ndani ya Spoti Xtra Jumanne
BAADA ya kumaliza mchezo wa funga mwaka dhidi ya Mtibwa Sugar nyota Fiston Mayele ni miongoni mwa wale ambao wamepewamapumziko. Katika msafara wa leo wa kikosi cha Yanga ulioelekea Zanzibar, Mayele hakuwa kwenye kikosi hicho. Nyota wengine ni Aziz KI, Kibwana Shomari, Khalid Aucho, Yannick Bangala ambapo wote hawa wamepewa mapumziko. Kwa mujibu wa meneja…
MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi Simba leo Januari 2,2023 wanatarajiwa kuanza safari kuelekea Zanzibar. Chini ya Kocha Mkuu mzawa Juma Mgunda kikosi hicho kinaelekea kuanza safari ya kutetea taji lao pekee ambalo walitwaa 2022. Ikumbukwe kwamba Simba ilishinda bao 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa na bao pekee la…
MSHAMBULIAJI Yusuph Athuman ambaye ni mali ya Yanga kwenye mzunguko wa pili atakuwa ndani ya kikosi cha Coastal Union. Coastal Union wamemchukua nyota huyo kwa mkopo ili kuongeza nguvu kwenye eneo la ushambuliaji. Hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza cha Yanga kutokana na ushindani wa namba ambapo ni Fiston Mayele alikuwa akianza kikosi cha kwanza.
NYOTA Serge Aurier bao lake la kwanza akiwa na Nottingham Forest dakika ya 63 liliuzima mkwaju wa Raheem Sterling dakika ya 16 na kuwafanya wasumbufu hao wa Premier League kupata sare ya kufungana 1-1 waliyostahili dhidi ya Chelsea. Mchezo huo ulichezwa kwenye Uwanja wa City Ground. Forest waliingia uwanjani wakijua ushindi ungewaondoa kwenye eneo la kushushwa daraja lakini…