
CHAMA ANAIWAHI COASTAL UNION
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba kuna asilimia kubwa akaibuka kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ambao ni wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Januari 28, Uwanja wa Mkapa, Dar. Chama hakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichoshuhudia ubao wa Uwanja wa Jamhuri ukisoma Dodoma Jiji 0-1 Simba kwa bao la Jean Baleke kwa kile…